SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Beauty Legacy Gala 2020 Fashion Review
Mitindo

Beauty Legacy Gala 2020 Fashion Review 

Mwanadada Jacqueline Mengi ambae alikuwa Miss Tanzania mwaka 2000 aliandaa Beauty Legacy Gala ambayo ilikusanya warembo mbalimbali wa miaka tofauti tofauti. Theme ya event ilikuwa ni high tea.

Tukiongelea high tea ni chakula kinacholiwa jioni ila hiki ni lightly meal yaani chai na cakes, scones etc. Kwa sasa watu wengi wanatumia hii kama theme kwenye party zao. Outfit za high tea huwa ni fashionable dresses ambazo mara nyingi ni mid length hazifiki mpaka chini, kuna kuwa na loyal accessories kama fascinator , gloves, pearl accessories etc. Tuangalie je ma’miss wetu walivaaje.

J.N.Mengi mwenyewe alivaa hii over the knee Lavender dress yenye bow pamoja na black shoes zilizoendana na fascinator na gloves, Amemalizia muonekano wake na pearl jewelries pamoja na clutch, we have to say this is how you showed up as former Miss Tanzania, schooling these youngish

Wakati Miss Tanzania 2001 Happiness Magese nae alikuwepo yeye alivalia high low cut out shoulder dress yenye puffy sleeves na viatu, fascinator na clutch vya off white ambapo yeye alichagua kuwa minimum na accessories pamoja na makeup. We loveeed this look.

Miss Tanzania 2006 Wema Abraham Sepetu ambae yeye leo anafikisha miaka 30, Happy birthday Wema. Yeye alivalia pinkish dress akamalizia na pink shoes pamoja na black gloves na fascinator

Mwingine aliyekuwepo ni Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred , ambae yeye alikuwa ni full blush pink outfit

Miss Tanzania 3rd Run Up Lisa Jensen na yeye alikuwepo ambapo alivaa jumpsuit ya kijani akamalizia na viatu, belt pamoja na fascinator nyeusi

Wengine waliokuwepo ni pamoja na Basilla Mwanukuzi, Elizabeth Makune, Genevieve Mpangala pamoja na Sylivia Sebastian Bebwa, hatuna much cha kusema zaidi kuhusu outfit zao all we can say is wangefanya vyema zaidi kuliko hivi.

Well Afromates tupe maoni yako ni nani umependa outfit yake zaidi katika hii event?

Related posts

3 Comments

 1. oneup mushroom bar China

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/beauty-legacy-gala-2020-fashion-review/ […]

 2. wonka donutz

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/beauty-legacy-gala-2020-fashion-review/ […]

 3. click

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/beauty-legacy-gala-2020-fashion-review/ […]

Comments are closed.