SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Because One Hat Is Not Enough Lady Jaydee Inspired By Solange Knowles
Mitindo

Because One Hat Is Not Enough Lady Jaydee Inspired By Solange Knowles 

Week iliyopita mwanamuzi Solange Knowles ambae ni mdogo wa Beyonce alicover issue ya gazeti la ID Magazine ambapo aliongelea kuhusu kurudi kwake katika muziki akiwa ametoa Album yake mpya iitwayo “When I Get Home”,  Katika gazeti hili Solange alionekana akiwa katika outfit tofauti tofauti moja wapo ni hii ambayo alivaa hizi kofia kama top juu

Channeling Michael Jackson, Solange alivaa kofia hizi nyeupe, gloves nyeupe pamoja na suruali nyeusi, socks nyeupe na moccasin nyeusi, very creative,

Lakini punde si punde tukamuona mwanadada kutoka Tanzania Lady Jay Dee akiwa na yeye amevalia hizi kofia as they say “great minds thinks alike” Jide yeye alionekana kuzishikilia zikiwa zimepangiliwa kiustadi kama Top, lakini yeye amefanya kuwa tofauti kidogo ambapo ameamua kuwa colorful akitumia kofia hizi kwa rangi tofauti tofauti, kama brown, blue, nyeusi na nyekundu,

Well Afromates how do you like this style? Clap or Slap?

Related posts

3 Comments

 1. Double Cup 1.2g Wax Infused Pre-Roll

  … [Trackback]

  […] Here you will find 82352 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/because-one-hat-is-not-enough-lady-jaydee-inspired-by-solange-knowles/ […]

 2. Buy B+ magic mushrooms for sale online Colorado

  … [Trackback]

  […] Here you will find 84795 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/because-one-hat-is-not-enough-lady-jaydee-inspired-by-solange-knowles/ […]

 3. 다시보기

  … [Trackback]

  […] There you will find 18556 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/because-one-hat-is-not-enough-lady-jaydee-inspired-by-solange-knowles/ […]

Comments are closed.