SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Behind The Brand: Evelyn Rugemalira For Eve Collections
Mitindo

Behind The Brand: Evelyn Rugemalira For Eve Collections 

Wengi tunamjua kama Eve Collections lakini jina lake asilia ni Evelyn Rugemalira, Eve ameanza kufanya ubunifu muda mrefu na ameweza ku-keep status yake mpaka sasa, Eve kwasasa ana miaka 50+ na bado ana slay kwenye mavazi, leo tunamleta kwenu kama muse wetu endapo una miaka kama yake au huna miaka kama yake basi uwe inspired nae.

Eve anapenda kuonekana classy mara nyingi mavazi yake yapo classy lakini pia anapenda details juu zaidi kuliko chini, tume notice pia ni mpenzi wa rangi nyekundu, well hizi ni baadhi ya looks tulizoziona tukapenda kutoka kwake.

Keeping it classy & chic

Tukiongelea occassion wear hasa kwenye birthday zake huwa anapendeza mno, baadhi ya ambazo tumependezwa nazo

Well tuambie look gani umependezwa nayo kutoka kwake?

Related posts