Mwanamitindo Bella Hadid amekuwa ameonekana kutrend katika mitandao ya kijamii kutokana na mavazi yake katika Tamsha kubwa la Cannes Film Festival. Bella ame-grace red carpet ya tamasha hili akiwa amevalia mavazi kutoka kwa wabunifu Jean Paul Gaultier na Schiaparelli.
Bella Hadid Alivaa vintage Jean Paul Gaultier dress, styled by Carlos Nazario. Hii dress mara ya kwanza ilikuwa debuted kwenye runway ya spring 2002 Couture ambapo model Naomi Campbell ndio alipita nayo katika show hio, Gauni ni nyeupe ambayo ina black tulle inayo wraps into a halterneck and forms a dramatic floor length train. She looked like a barbie
Katika Look nyingine Bella alivaa Schiaparelli ambayo hii ni fresh from run way, imetoka katika collection ya Fall-Winter 2021/2022 Haute Couture ambayo ilikuwa debuted 5th July mwaka huu katika Paris Fashion Week. Gauni hii ina Extreme low-cut neckline in black wool complete with a rhinestone-embellished gilded brass necklace that takes on the shape of lungs.
Well look ipi imekuvutia zaidi?
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/bella-hadid-turns-head-at-2021-cannes-film-festival/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/bella-hadid-turns-head-at-2021-cannes-film-festival/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 30558 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/bella-hadid-turns-head-at-2021-cannes-film-festival/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/bella-hadid-turns-head-at-2021-cannes-film-festival/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/bella-hadid-turns-head-at-2021-cannes-film-festival/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/bella-hadid-turns-head-at-2021-cannes-film-festival/ […]