SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Beret Are New Lace Wigs
Mitindo

Beret Are New Lace Wigs 

Sasa tunaweza kupumzisha lace wigs zetu kwa kupata new accessory ya kichwani, the 90’s are coming back & beret hat ni moja kati ya trend ya miaka hiyo iliyo rudi kwa kasi. Ni kofia ambazo zimekaa girlish unaweza kuvaa na chochote kama gauni, suruali, skirt etc.

Amanda Dupont yeye ame style beret hat yake na leather pants, white tee na black heels, pop up a color na red lipstick

rethibe mendu  dressed up red beret with white top, gingham pants na pochi nyekundu na  black mules, amemalizia muonekano wake na rounded earrings na glasses she wore a trend on trend outfit

South African fashionista Pamela Tshingila yeye amevaa black beret aliyo i style na t-shirt nyeupe na flare min skirt nyeusi “monochrome look” akimalizia muonekano wake na glasses na saa.

 

 

Lizeka makala yeye alivaa flare gingham skirt, graphic white t-shirt, red beret hat amemaliza muonekano wake na red open heels, clutch na miwani seems like beret goes with glasses alot 

Kwa Tanzania stylist Lavidoz ameonekana pia akiwa amevalia kofia hii nyekundu akiwa ame accessorize na eye cut glasses na rounded earrings huku akiwa amevaa na stripes shirt.

Nandy nae hakuwa nyuma akiwa amekuwa styled na stylist Joujou Nyaki alionekana akiwa amevalia pink beret akiwa ameistyle na pink crop top, black and white stripes skirt na pink boots “colorful”

 

Queen Bey yeye ametuonyesha namna ambavyo unaweza kuzivaa kofia hizi kwenye events za maana, she rocket a black beret with black dress

Je umependa trend hii? au hapana? tuachie comment zako hapo chini

Related posts

4 Comments

  1. click here to read

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/beret-are-new-lace-wigs/ […]

  2. Buy Magic Mushroom Online Sydney

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/beret-are-new-lace-wigs/ […]

  3. 다시보기 사이트 순위

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/beret-are-new-lace-wigs/ […]

Comments are closed.