SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Best And Worse Dressed Wedding Guest’s From Prince Harry and Meghan Markle’s Royal Wedding
Mitindo

Best And Worse Dressed Wedding Guest’s From Prince Harry and Meghan Markle’s Royal Wedding 

Royal Wedding imefanyika jumamosi hii ambapo watumaarufu mbalimbali walifika, Prince Harry na Megan Markle wedding ilisababisha Dunia yote iahame kuwaangalia wenyewe. Katika upande wa mavazi the royal wedding ilikua na requirements zake ambapo ilikuwa ni dresses na hats, na dresses lazima zifike magotini ( kwa wanawake) kwa upande wa wanaume mavazi yalitakiwa kuwa military regalia, lounge suits au morning suits.

Wengi walionekana kwenda na matakwa au theme ya harusi na hawa ndio tulio wapenda

Tumeona rangi nyingi from neutral colors to bold, Queen Elizabeth II yeye alichagua kuvaa neon outfit yenye touch ya purple kidogo akimalizia na black block heels na mkoba mweusi. kofia yake ni custom designed by Angela Kelly.

Doria Ragland mama wa bibi harusi yeye alivaa ocean foam green dress kutoka kwa mbunifu Oscar De  la Renta, tulicho kipenda zaidi ni yeye kwenda kwenye harusi ya mwanae na natural rocks zake na kipini.

Oprah yeye alivaa Stella McCartney blush double tiered dress akimalizia muonekano wake na  Gabriella Hearst bag, Oprah looked like a goddess in this outfit, rangi ya nguo ime compliment rangi ya mwili wake na kuna msemo unasema there is no such a thing like too much accessories. Oprah did that.

Amal Clooney yeye alichagua kuwa colorful ambapo alivaa Bespoke Stella McCartney honey yellow midi dress ambapo alimalizia muonekano wake na hat yenye rangi sawa na gauni kutoka kwa  Stephen Jone, tumependa huu muonekano na jinsi ambavyo ameweza kuvaa rangi moja inayoshout bila ku-bore au kuonekana too much.

Karen Spencer yeye alichagua kuvaa purple dress & hat kutoka kwa mbunifu Rachel Trevor Morgan.hii ni moja ya kati ya look ambayo ime top katika top 5 yetu, that caped dress is every thing, so royal & stylish.

Kitty Spencer (R) yeye alichagua Dolce & Gabbana dress ambayo ni ya rangi ya kijani na njano, the neck details is evetything ndio imefanya this dress kuonekana vizuri, amemalizia na orange pumps ( the shoe color is to die for) na stylish hat kutoka kwa Philip Treacy.

Gina Torres

Serena Williams alivaa  Versace long sleeve blush silk cady dress aliyo match na viatu na hat 

Katika wanaume David Beckham alitop katika list ya wanaume waliopendeza ambapo alivaa Dior Homme charcoal gray wool twill morning coat and pants the definition of Zaddy

Priyanka Chopra alivaa Vivienne Westwood made-to-measure suit ya rangi ya mwaka vivid purple, Priyanka amemaliza muonekano wake na Philip Treacy hat.

Walihudhuria wengi lakini hawa ndio wachache waliotuvutia zaidi, na ambae hatukupenda vazi lake ni Idris Elba Fiancee  Sabrina Dhowre ambae yeye alivaa full Gucci, Kwanza kabisa outfit yake haipo royal yaani nani anavaa cardigan katika royal wedding? the only thing ambayo atleast ipo royal ni hii kofia, lakini why full Gucci Sabrina? kwani yeye ni Gucci billboard?

 

tuambie kwako wewe nani amekuvutia na nani amekosea hata kama hayupo katika list yetu

 

Related posts

2 Comments

  1. Aztec Gods Magic Mushroom

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-and-worse-dressed-wedding-guests-from-prince-harry-and-meghan-markles-royal-wedding/ […]

  2. แทงบอลออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-and-worse-dressed-wedding-guests-from-prince-harry-and-meghan-markles-royal-wedding/ […]

Comments are closed.