SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Best And Worse Looks At The DSTV MVCA 2018 Red Carpet
Mitindo

Best And Worse Looks At The DSTV MVCA 2018 Red Carpet 

The DStv Mzansi Viewers’ Choice Awards zimefanyika siku ya jumamosi tarehe 24.11.2018, Tuzo hizi huwa zinafanyika ku- honour the year’s biggest achievements in television, radio, music, sports, and comedy, voted by viewers living in South Africa. As that being said utajua watu maarufu kutoka sekta mbalimbali walihudhuria hafla hii, well hii ndio list yetu ya waliopendeza na wale ambao walikwenda kusindikiza

Fashionista Lalla Hirayama ame attend katika DSTV MMVCA akiwa kwenye hii blush pink sheer feather dress, this is how you show up and shut down, amependeza in this dress, tumependa kwamba ame dare, hii gauni kama angevaa na makeup ya ajabu au nywele za ajabu basi angekuwa kwenye list ya wasindikizaji lakini amejua kuibeba gauni she looked amazing love it.

Tv Presenter Lerato k Ganyago ali attend awards hizi akiwa amevalia strapless red dress,  amemalizia muonekano wake na silk hair na bold red lipstick, she let the dress do the talking tumependa gauni ilivyo mkaa, she gave us waist snatched, showing us skin, neck love it.

 

Muigizaji Nomzamo Mbatha yeye alishow up in this neon lemon ball gown, the gown was one statement piece hakuhitaji mambo mengi usoni wala nywele na akaamua kurudisha nywele nyuma, nude makeup,amemaliza na statement earrings na black pumps, she looked like a black Cinderella

Nobody beats Nhlanhla Nciza in color blocking, this woman can rainbow her outfits perfectly, she went extra na hizi neon colors & we love the outcome.

Muigizaji Enhle Mbali Maphumulo yeye alichagua blush pink Cinderella dress ilimkaa vyema na kwa mwili wake the dress ilikuwa perfect choice, japo amependeza lakini tunadhani she could have done better na nywele na makeup, gauni ni nzuri mno for that hair style.

K Naomi Noinyane showed up in black love everything on this look, makeup, hair, dress perfecto.

Burgundy suit for the brother zulu mkhathini

Waindikizaji walikuwa wachache lakini huyu alitia fora akiwa amevalia hizi fancy pajama kwenye red carpet why though

Related posts

3 Comments

  1. buy ayahuasca tea online eu,

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-and-worse-looks-at-the-dstv-mvca-2018-red-carpet/ […]

  2. weed delivery Toronto

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-and-worse-looks-at-the-dstv-mvca-2018-red-carpet/ […]

  3. mushroom shop Oregon

    … [Trackback]

    […] Here you can find 70643 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-and-worse-looks-at-the-dstv-mvca-2018-red-carpet/ […]

Comments are closed.