SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Best And Worse Looks From Last Weeks
Mitindo

Best And Worse Looks From Last Weeks 

Tunajua mlimiss hii segment, Yes we miss doing this too. Sote tunajua kwa sasa watu hatutoki toki kutembea lakini hii haimaanishi basi tusipendeze yaani tujiweke weke tu.

Leo tunakuletea best looks ambazo tumeziona Juma lililopita na zile ambazo tumeona zimekuwa kama covid 19, yaani kirusi.

Tunae Elizabeth Michael ambae yeye kwa sasa ni balozi wa DSTV, Eliza alitoka na hii powerful look akiwa amevalia black, white na red, its the details kwenye hii outfit ambayo imefanya muonekano uonekane powerfully & stylish.

Lakini pia tunae Stylist Noel Ndale, Noel na yeye alivaa black and white ambapo alivaa black & white polkadot co-ord set akiwa amemalizia na boots nyeusi, miwani, layered necklaces na pete. If this isn’t stylish fit then we don,t know what is.

Tunao Navy Kenzo, Aika na mpenzi wake Nahreel, wao walituma a vintage vine tulichopenda zaidi ni color coordination katika hii outfit, giving us couple goals and all.

Wakati kwenye worse look tunae Adam Mchomvu, hapa tunaweza kusema ni lack of styling maana suit ni nzuri sana ila ni namna ambavyo amezi-style zimefanya zionekane cheap na kupoteza mvuto wa suit hizi.

Well Afromates tuambie ni look gani kati ya hizi ambazo ni best look, imebeba look of the week kwa week iliyopita?

Related posts

4 Comments

 1. window installer

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-and-worse-looks-from-last-weeks/ […]

 2. additional resources

  … [Trackback]

  […] There you can find 29859 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-and-worse-looks-from-last-weeks/ […]

 3. 다시보기

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-and-worse-looks-from-last-weeks/ […]

 4. Medicijnen bestellen zonder recept bij Benu apotheek vervanger gevestigd in Tilburg

  … [Trackback]

  […] Here you can find 50243 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-and-worse-looks-from-last-weeks/ […]

Comments are closed.