The Headies (Zinajulikana pia kama Hip Hop World Awards) zilianzishwa mwaka 2016 na Hip Hop World Magazine kutoka Nigeria, Ni tuzo ambazo zinahusiana na kuangalia mafunikio ya ulimwengu wa muziki wa Nigeria. Zimefanyika Jumamosi huko Nigeria na kuna ambao walipendeza sana na kuna wale ambao walituacha mdomo wazi.
Simi was a true definition of On Point, kuanzia make up, nywele, accessories even the pose.
Bam Bam She is pop’n in black & gold dress
Long tail any one? Seyi Shay got you
Straight from runway muigizaji Beverly Osu looked good in Bibi Lawrence Bespoke Gold Dress
Yellow Mellow Lilly Afegbai
Toyin Abraham
Tobi looked good akiwa styled na Nigerian Stylist Swank Jerry
As usual Ebuka looked dapper
Muigizaji Bryan Okwara looked sharp in his Tuxedo.
Samuel Ajibola yalimkuta ya Wasiwasi Mwabilambo na suit yake, kimo kina matter
Iwuchukwu Marianne Ahneeka alitaka kum-channel mwanamitindo cara delevingne muonekano wake wa Met Gala mwaka jana ila hii ilikua a failed Cara Delevingne look hio tube top imeharibu kabisa muonekano wa suit, tungependa kama ange vaa bralette, na hii style ya nywele it was so wrong.
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-and-worst-outfit-at-the-12th-headies-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-and-worst-outfit-at-the-12th-headies-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 98649 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-and-worst-outfit-at-the-12th-headies-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-and-worst-outfit-at-the-12th-headies-awards/ […]