SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Best Celebrity Looks We loved On May Month
Mitindo

Best Celebrity Looks We loved On May Month 

Okay its been a minute toka tumewaletea fashion roll call yetu ya kila week, sasa tumeona tuwaletee hii ya mwezi mzima ili mpate ku-catch up na nini kili happen tukakipenda nani alivaa nini wakati ana kwenda wapi. Tukafikiri what a away ya kuanza mwezi June fashionable kama sio kukuletea zile worthy looks za mwezi uliopita na watu wajue mwezi huu watajitahidi vipi kuhakikisha wanapita slayage za mwezi May.

Julitha is one slay mama, you got to love her. Mara nyingi huwa anaweka picha zake za namna alivyovaa siku hio katika social network pages zake, katika mwezi May outfit ambayo ilituvutia sana ni hii, one shoulde dress kutoka kwa mbunifu @donamatoshiofficial, Gauni ilikuwa ni nyeusi ina stripes za silver amemalizia muonekano wake na clear heels, simple makeup na sleek hair style. Love the sexiness of the dress.

Haliwezi kuwa jina geni katika masikio yako, Miriam Odemba alihudhuria katika Cannes Film Festival akiwa amevalia gauni hili jekundu kutoka kwa mbunifu @fouadsarkisofficial, Tunaweza kusema mwaka huu Miriam ame step up, the dress spoke to us in various languages, the hat, gloves, miwani na mini bag made the outfit perfect.

Wema Sepetu alihudhuria katika Iftar iliyo andaliwa na mwanamziki Harmonize akiwa amevalia hii gauni ya kijani kutoka kwa mbunifu Elisha Red label, okay the dress tupu ilikuwa nguva ya kawaida lakini kitu ambacho tulikipenda zaidi nii hii extra long lace cape, amemaliza muonekano wake na kiremba. She did that.

 • Irene Uwoya In All White Outfit

Muigizaji Irene Uwoya, alihudhuria hafla ya Simba Awards akiwa amevalia hii all white outfit, sote tunajua rangi nyeupe inakufanya uonekane classy, tumependa alivyoongeza na gold accessories,kiremba chake she looked classy. Ambacho tungepunguza ni hio cheni ilikuwa haina umuhimu lakini other wise she won our fashion heart.

Eliza gave us wedding guest slayage akiwa amevalia hii purple dress kutoka kwa mbunifu @kenny_the_brand , this made it to our May favorite list.

Huwezi kubisha Dogo Janja ni moja kati ya wasanii wa kiume wanaochukuria serious mionekano yao kwa sasa, Mwezi huu tumemuona kwenye hii suit ya kijani kutoka kwa mbunifu wabunifu marafiki suits. He looked dapper

 • Mwamvita Makamba & Her Daughter Giving Us Mom & Daughter Goals

Mwamvita Makamba na mwanae giving us mom & daughter goals in green dresses, how cute are they?

well tuambie kwako wewe nani amekufuraisha zaidi mwezi huu na unadhani nani mwingine alipaswa kuwa katika hii list?

Related posts

5 Comments

 1. golden teacher mushroom scientific name,

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-celebrity-looks-we-loved-on-may-month/ […]

 2. you can find out more

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-celebrity-looks-we-loved-on-may-month/ […]

 3. 웹툰 사이트

  … [Trackback]

  […] There you can find 66165 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-celebrity-looks-we-loved-on-may-month/ […]

 4. ทดลองเล่นสล็อต pg

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-celebrity-looks-we-loved-on-may-month/ […]

 5. u31 com

  … [Trackback]

  […] There you can find 48307 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-celebrity-looks-we-loved-on-may-month/ […]

Comments are closed.