SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Best Dressed At I Am Zuchu Event
Mitindo

Best Dressed At I Am Zuchu Event 

Its been a while toka Tanzania tuwe na event kubwa ambayo imewakutanisha wasanii mbalimbali pamoja, Jumamosi kuikuwa na event ya msanii kutoka katika label ya wasafi classic baby Zuchu ambapo alikuwa anatoa shukrani kwa mapokezi aliyoyapata.

Kwanza tuanze kwa kusema finally, tumepata event ambayo red carpet ilikuwa kubwa ya kutosha yaani this is what we were talking about red carpet mnajiachia unachagua pakusimama hamna msongamano we applaud event coordinator kwa hili kwa kweli that red carpet was wow.

Sasa tuje kwa waliopendeza kwenye event hii ambapo theme ya mavazi ilikuw black, gold na white.

 • Zuchu in Elisha Red Label

Zuchu looked stunning kwenye hii statement dress by Elisha Red Label, alivaa strapless mini dress ya emerald green, ambayo ilikuwa na veil yenye statement sleeves akamaliza na gold shoes. Tumependa kwamba wamempa muhusika rangi ya tofauti as we all know Zuchu bado mdogo ana mwili mdogo na walioenda kwenye hii event wengi walikuwa wakubwa she had to appear different for her to shine. Lakini pia tungependa kama stylist angemvalisha viatu vya green vinavyofanana na gauni ili kutoku-block muonekano wa muhusika.

 • Jihan Dimack In Mac Couture Statement Dress

The only thing we can say kuhusu hii look ya Jihan ni Wow, Mac really out did himself hapa, the cut of the dress mpangilio wake is just wow wow this is actually our favorite look of the day

 • Wema Sepetu in Jacques Collection

Wema looked hawt in Jacques Collection pieces ambapo ilikuwa all white, amevaa suruali na crop top ambapo nje ilikuwa na long coat yenye veil amemalizia na clear shoes na kofia. She showed up and showed out as she should.

Irene Paul in beauty point dar gold & black dress with detachable skirt

 • Batuli In Mobetto Styles Glod Sequin Dress
 • Nanah in black & Gold Sequin Dress
 • Rio Paul

Looked dazzling in gigham suit, we loved rangi ya suit na namna ambavyo hajatoka sana nje ya theme, yes amevaa black pull neck na black suit hajachagua kuwa full black kama wengine.

 • Diamond Platnumz in Mobetto Styles black & Gold suit

Imekuwa muda mrefu toka tumuone Diamond akiwa smart hivi na kusema smart tunamaanisha head to toe, Mobetto styles gave him that boss look he deserves na pia japo alikuwa in gold & black theme amekuwa tofauti na wengine. Thumbs up.

 • Martin Kadinda

Martin alikuwa in black and white suit he looked sharp & smart, Martin is gaining and we love this new boddie

Related posts

2 Comments

 1. weed dispensary mississauga

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-at-i-am-zuchu-event/ […]

 2. 다시보기 사이트

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-at-i-am-zuchu-event/ […]

Comments are closed.