SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Best Dressed At Tanzania Music Awards 2021
Mitindo

Best Dressed At Tanzania Music Awards 2021 

Tuzo za Muziki Nchini Tanzania zimerudi na mwaka huu zilifanyika Jumamosi ya 2.4.2022 ambapo wasanii mbalimbali walihudhuria, wengine waliondoka na Tuzo lakini wengine wakiwa mikono mitupu. Hongera kwa wale waliojishindia na waliokosa wajitahidi zaidi mwaka huu.

Jicho letu sisi lilikuwa kwenye mavazi kwa wale waliovaa kuendana na uzito wa shughuli, yes shughuli ilikuwa nzito, well hapa tunawaangalia wale waliivaa shughuli.

Jokate Urban Mwegelo akiwa amevalia gauni kutoka kwa mbunifu Mahaumes, they did that hivi ndivyo namna una show up kwenye shughuli nzito, unaivaa shughuli we loved the makeup, the dress and hair.

Miss Higher Learning, Angel Alfred Mtatiro akiwa amevalia gauni nyeupe kutoka kwa mbunifu Michael Williams

Izzo Bizness akiwa amevalia suit kutoka kwa Official Zungu Fashion, tumependa color coordination, suit imekaa vyema and he groomed well.

B Dozen in white and black suit by PSJ Brand,

Saraphina

Wengine ambao tuliwaona wamependeza lakini tumekosa picha zao ni Chegge Chigunda na K2ga

Related posts

3 Comments

  1. Gelato 1g Disposable Vape

    … [Trackback]

    […] Here you will find 3358 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-at-tanzania-music-awards-2021/ […]

  2. Buy DMT Vape Pen Perth

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-at-tanzania-music-awards-2021/ […]

  3. are golden teacher mushrooms legal,

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-at-tanzania-music-awards-2021/ […]

Comments are closed.