Tuzo za MTV Video & Music Awards zimefanyika usiku wa kuamkia jana huku watu maarufu mbalimbali wakiwa wamehudhuria Tuzo hizi, wakiwepo Nicki Minaj, Cardi B, Ariana Grande na wengine wengi kama kawaida tupo hapa kukuletea review yetu kuhusu mavazi yaliyo valiwa katika red carpet ya event hii
Tuanze na zile zilizo tuvutia
Cardi B showing curves in velvet number, we love the pixie cut hair style so fresh showing face, amemaliza muonekano wake na pink open sandals na Nicolas Jebran and Lorraine Schwartz jewelry, she gave us all shades of perfection & the curves are wow.
Ashante dripping in this sequin number, she looked sensational we love the hair do, makeup, accessories and the dress she real gave us some 80’s classy vibes ame miss gloves tu. Snatched
These two beautiful sisters are growing to be such ladies, we love these dresses on them age appropriate
keyshia ka’oir snatched in this nude & sequin dress iliyo muonyesha vizuri kabisa curves zake they say if you have it flaunt it, wakati mume wake alipendeza akiwa amevalia Gucci striped jacket na black trouser & shoes that is what we call polished.
Shawn Mendes came to slay in Paul Smith double colored suit, rangi ya suit ime compliment rangi yake ya mwili he looked dapper and ready to snatch yo girl, his dental formula on point too, & the hair? ugh perfect.
Kylie Jenner showed up in white blazer dress, she chose to be on the safe side hakutaka mambo mengi we like it.
Blake Lively hiding her skin under this white outfit, tunatamani angetuonyesha something but in the world full of Amber Rose be the Blake. Loved It.
This makeup look wouldn’t go unnoticed Rita, hii makeup imebeba sana vazi
21 Savage looked fresh in denim trouser, white t-shirt & amemalizia na denim coat, white kicks & some glasses well 21 next time share your stylist na Ex wako Amber Rose.
Versace affairs for dj Khaled and his family
Hawa ni wachache kati ya wengi tulio wapenda tuambie wewe ni nani amekuvutia zaidi.
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-at-the-2018-mtv-video-music-awards-red-carpet/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-at-the-2018-mtv-video-music-awards-red-carpet/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-at-the-2018-mtv-video-music-awards-red-carpet/ […]