SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Best Dressed At The BET Awards 2018
Mitindo

Best Dressed At The BET Awards 2018 

Hii ni mara ya 18 toka tuzo za BET zianzishwe, mwaka huu zimefanyika Los Angels katika ukumbi uitwao Microsoft Theater, Watu maarufu mbalimbali walihudhuria na kama kawaida yetu huwa tunaangalia nani amevaa nini na Je nani ame tuimpress na nani angekaa tu nyumbani, tuanze na walio tufuraisha  (good news first)

Blac Chyna alipendeza na hii outfit yake, tumependa the fact that alikuwa tofauti na wengine na tunaweza kusema ni yeye pekee ndiyo aliye make effort katika outfit yake, alivaa two pieces silver number amemaliza muoneano wake na see-through heels na finger weaves hairstyle, She added some color using her makeup.

 

Logan Browning akiwa amevaa vazi kutoka kwa  Dion Lee, tumependa how stylish her outfit is na jinsi ambavyo amechagua kuwa safe kwa kuvaa rangi moja not too much going on.

Keyshia Ka’Oir looked beautiful akiwa amevalia gauni ya blush pink, hair & makeup on point. Sometimes all you need is the body to make your outfit look good.

Chloe & Halle this two sisters never do any wrong, tunapenda kwamba wanavaa age appropriate hawajaribu kuwa watu wazima sana, wanajua wanaenda wapi na wavae nini, whoever styles them know his/her job. wameingia katika list yetu ya best dressed ya mwaka huu pia.

Ashanti been looking good lately, she took our attention akiwa amevaa hii more of tuxedo dress ya velvet na ankle boots, kilicho make statemtent katika outfit yake ni hii mikono ya hii gauni ambayo ina-shout look at me being here.

SERAYAH Dripped in golden mind-bending skirt, akiwa ame match na crop top na amemalizia muonekano wake na blond bob,

Kwa upande wa wanaume tunao

T.I is always serving us some elegant look, he keeps it simple & fresh.

kwa wanaume 2 chainz risk it kwa kuvaa hii double-breasted Gucci suit, amemalizia muonekano wake na Gucci studded shoes na chains na miwani, well 2 chainz stylist real took his time to create this look we love love love.

Safaree Samuels

Related posts

3 Comments

 1. young liberty cap mushrooms

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-at-the-bet-awards-2018/ […]

 2. Buy DMT Vape Pen Victotia

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-at-the-bet-awards-2018/ […]

 3. buy cz guns

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-at-the-bet-awards-2018/ […]

Comments are closed.