Theme ya Met Gala mwaka huu ilikuwa Heavenly Bodies: Fashion and the Catholic Imagination, Kiukweli ilikuwa theme ngumu kidogo imagine slaying the Catholic wear lakini wengi walipatia japo kuna wengine walio toka nje kidogo. Hawa ndio best dressed wetu
Rihanna channeling the Pope in custom designed Maison Margiela gown.
Solange amevaa mavazi kutoka kwa Iris van Herpen latex creation na braided halo, ambapo mwenye alisema alikuwa inspired na Black Madonna
Cardi B wowed akiwa amevaa ubunifu wa Jeremy Scott ( Moschino) amemalizia muonekano wake na jeweled head piece, she looked gorgeous reminding us of Beyonce
Jennifer Lopez stunning in Balmain’s Olivier Rousteing design, amependeza ame slay the theme while showing us some legs
Sarah Jessica Parker alichagua gold dress kutoka kwa mbunifu Dolce & Gabbana
Katy Perry went all in with angelic wings amevalia na gold chainmail Versace mini dress na thigh-high boots. the question is anakaaje?
Rita Ora in a sweeping black Prada gown
Bella Hadid
Amal Clooney
Zendaya Dressed Like Joan of Arc for the Met Gala
Sza in pink Versace gown she made a statement by adding custom halo and bejewelled tear drops.
Priyanka Chopra’s akiwa amevaa burgundy strapless Ralph Lauren gown offset the drama of her elaborate gold jewelled hood.
Nicki Minaj was Divine in red Oscar de la Renta gown
CHADWICK BOSEMAN
Related posts
7 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 48886 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-at-the-met-gala-2018/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-at-the-met-gala-2018/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-at-the-met-gala-2018/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 41525 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-at-the-met-gala-2018/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-at-the-met-gala-2018/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-at-the-met-gala-2018/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-at-the-met-gala-2018/ […]