SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Best Dressed Celebrities From Last Week
Mitindo

Best Dressed Celebrities From Last Week 

Week iliyopita kulikuwa na sherehe mbalimbali kuanzia sikukuu ya Eid, Birthday’s na harusi, watu maarufu walihudhuria shughuli mbalimbali na wengi wao walivaa kwa kupendeza. Leo tunakuletea wale ambao tuliona wamependeza na unaweza kuiga mshono kutoka kwao

Tumemuona muigizaji Elizabeth Michael ambae alishehereka 28th Birthday yake na alivaliaa hii pink short dress kutoka kwa mbunifu Anna Collections, alimalizia muonekano wake na sleek hair do, makeup, statement earrings na matching pink heels. MUA @jodees__makeup, Hair @leluuhouseofbeauty, 👗 @anna____collections, 📸 @six_rango_weddings

Mwingine aliyeshehereke birthday yake ni muigizaji Hanipha, ambae yeye alivaa burgundy closet dress, alimalizia muonekano wake na up do hair style,makeup nzuri pamoja na accessories ndogo ndogo, tumependa simplicity na elegance ya hii look, anyways do you feel old yet? huyu ni yule aliyeigiza uncle JJ na Kanumba. Makeup @fettybaabde
Lens @fettymakeupstore, Nails @fettymakeupstore,Dress @jolijooh
Henna @fafa_henna21, 📸 @ashy_images 

Muigizaji Wema Sepetu yeye alifturisha akiwa amevalia hii corset dress kutoka kwa mbunifu Shuu, the fit is on point, the extra vail made the whole look i-stand out, makeup on point lets say Wema did that japo tunadhani look ilikuwa nzuri sana for Iftar. 👗 @designed_by_shuu

Fbric @rama_fabric_tz 💄 @alexabeautyglam 📷 @icon_tz

Jojo Gray yeye alikuwa in a black detach dress kutoka kwa mbunifu Shuu, Dress @designed_by_shuu Fabric @rama_fabric_tz Makeup @makeupbyeddie_
📸 @icon_tz

Let us know nani umependa look yake?

Related posts