SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Best And Worse Dressed Celebs From Last Week
Mitindo

Best And Worse Dressed Celebs From Last Week 

As usual inapofika Jumatatu tuna-round up looks kutoka week iliyopita ya nani alivaa nini na kama alipendeza au Lah!., Well kutoka week iliyopita tumeona mionekano tofauti tofauti kuna ambao walipendeza, walikuwa kawaida na walio haribu hapa tunaangalia wale waliopendeza zaidi.

  • Rosed Makeup in detached skirt dress kutoka kwa mbunifu @mmorankiss52

Makeup artist Rosed Makeup alikuwa na sherehe ya ubatizo ya mwanae, alikuwa na mavazi mbalimbali na moja wapo ilikuwa hii detached skirt dress, tumependa color na design ya nguo, fittings, makeup na hair zote zilikuwa on point… And yes!!!!! ni ubatizo wa mtoto.

  • Fahma in cascading layers white tulle dress from Fahyma Loves Styles Dress

Fahyma alifanya photoshoot ya bithday ya mwanae ambapo alikwa na dress mbili nyeupe na nyekundu, tumependa nguo zote mbili. tupenda namna ame-style hii gauni nyeupe na laced up heels pamoja na floral crown.

Happiness alihudhuria katika send off ya kaka yake akiwa amevalia hii white and silver sequin mermaid dress, tumependa namna ame-style hii dress na minimum accessories, sleek hair na nude makeup, she let the dress to the talking at it spoke to us.

  • Nandy in bandage black dress with embellished stones

Mwanamuziki Nandy alikuwa kwenye hii black corset bandage dress ambayo iliwekewa nakshi za stones zilizo nogesha zaidi muonekano wake, kichwani alikuwa na blonde low cut huku akimalizia na simple makeup.

Well hawa ndio watu maarufu wanne waliokosha nyoyo zetu na mavazi yao, #afromates tuambie nani amekuvutia zaidi?

Now tuje kwa wale ambao tuliona wamekosea hapa na pale katika mavazi yao, hawa ni baba na mwana na unaweza kushangaa wote wana tatizo moja kasoro mmoja kazidisha maji na mwingine kapunguza kabisa.

Hapa tunawaongelea Diamond Platnumz na step son wake Harmonize, Diamond alionekana katika sherehe ya Iftar ya Jumalokole akiwa amevali over sized outfit ambayo ilitufanya tufikirie kama alifanya fittings kweli wakati anainunua, Huku Harmonize akiwa amevalia nguo iliyombana kabisa that made us wonder kama hata mate anaweza kumeza bila ya vifungo kukatika?

Related posts

5 Comments

  1. Lyophilized Goldmember Magic Mushrooms

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-celebs-from-last-week/ […]

  2. this website

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-celebs-from-last-week/ […]

  3. Best DMT shop Brisbane

    … [Trackback]

    […] There you will find 16393 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-celebs-from-last-week/ […]

  4. Dr Stacy Pineles and David Bolno

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-celebs-from-last-week/ […]

  5. click now

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-dressed-celebs-from-last-week/ […]

Comments are closed.