SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

BEST DRESSED TANZANIAN MEN 2016
Mitindo

BEST DRESSED TANZANIAN MEN 2016 

2016 haujawa mwaka rahisi kama miaka mingine ya kuchagua nani ni best dressed celeb kwa wasichana na wavulana, watu wamekuwa na muamko wa kuwa na muonekano mzuri, katika wengi hawa ni wachache tulio wachagua kwamba wame tisha mwaka huu kimavazi

1) Idris Sultan –  huyu ni mshindi wa Big Brother Africa pia ni mchekeshaji, ame kuwa na mwaka mzuri mwaka huu kwa kushinda tuzo mbali mbali na ku sign mikataba mbali mbali ya kazi, ukiachana na hivyo vyote tuna penda Idris Sense of style akiwa casual au ndani ya suit ana jitahidi kupendeza na kupangilia vizuri rangi

Idris-Sultan-2 IMG-20160918-WA0016

15535443_1759155747739310_4793300647568998400_n

2) Andru Julian Mahiga – ana julikana kama drudysseus, ni social entrepreneur,  tunaweza kusema na yeye ameingia katika list yetu ya wanaume walio tisha kimavazi 2016

dru

dru2

dru3

3) Ali Kiba – Ali Kiba ni muimbaji, muandishi wa nyimbo, producer na pia ni member of Tanzania wildaid, ame ingia katika list ya best dressed men 2016 tuna weza kusema Ali ame upgrade sana mwaka huu sio tu ki mavazi bali pia kuwa social. Thumb up Ali K mwakani iwe zaidi ya mwaka huu

14487395_1153765378005389_502479386579042304_n

14677164_341405389546518_4018110517234106368_n

15034740_898685420262414_8452856875342364672_n

4) Ommy Dimpoz – amekuwa akiingia katika list za wanaume wano pendeza kwa kuvaa mara kwa mara japo haja wahi kushinda au kushindanishwa katika Tuzo za mavazi labda ni nyota haonekani lakini Ommy ni moja kati ya Wanaume wa Tanzania Wanao tisha katika swala zima la mitindo na mavazi

14566559_733007810201427_1275811883428872192_n

14712142_576039282603563_2879774141743890432_n

5) Barnaba Boy Classic – huyu ni mwanamuziki na hit maker kwa sasa ana tamba na lover boy japo ana nyingine nyingi zilizo tisha nae ame ingia katika list yetu kilicho tuvutia kwake ni hii calm style yake yani habohi, hazidishi na wala hapunguzi

14718278_1641369686163459_2098036234981998592_n 15057220_1810741762525501_6029129224445493248_n 14478337_996756230449995_1840380330851172352_n

6) Wildad Agripa –  ni mwanamuziki kutoka kundi la The Industry tulisha wahi kumuandikia hapa tume pendezwa na style zake mwaka huu na tuna weza kusema hili ni ingizo jipya kabisa kwa mwaka huu.

 

15258663_140886829727028_2747568751950954496_n 14474151_213227039118081_2937611026050318336_n 13712366_1567268566910425_837874098_n

7 Gabo Zigamba – ni muigizaji kutoka bongo movie si mara nyingi huwa ana onekana hasa mitandaoni lakini akionekana utapenda maana he looks sharp kingine kuhusu Gabo una weza kusema kapendelewa lakini kuna post huwa ana post yupo kazini hatuwezi ku judge kwa hilo.15035786_640307189484357_6260062451945963520_n

8) Nedy Music – ni mwanamuziki wa bongo flavor ambae ni kipenzi cha kina dada, we love his style mwaka huu na yeye pia ni ingizo jipya kabisa. Tunapenda watu wanao jitaidi kujiongeza

15275684_1786815968244438_6184857355549671424_n 15338425_1084704118295371_7361067843577708544_n 15625018_1783151261935617_2149053385532243968_n

tuambie yupi ume mpenda zaidi, nani katisha nani kapendelewa? nani aongezwe kupitia

Instagram page yetu – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts