Sote tunapenda kujifunza kutoka kwa watu mbali mbali, ikiwepo wale ambao tuna fanana interest, Lehautestyle ni moja kati ya blog ambazo tunazitembelea mara kwa mara ana penda fashion, ana toa tips, anapenda vyakula, life style na vingine vingi bila kusahau fashion sense ni fire, kwa kuona hilo tukaona tufanye interview na mwenye blog kujua mawili matatu kutoka kwake ambayo sisi na ninyi tutajifunza
Afroswagga –Fashion inamaanisha nini kwako ?
Lehautestyle -Fashion means freedom to express my personality through my style.
Afroswagga- una signature style kama ndio unaikuza vipi?
Lehautestyle – I don’t think i have one but most of the time especially since last year ,i am always wearing big belts , high waisted pants or my absolute favourite bathrobe-like long coats
Afroswagga – a style tip ambayo you live by (unaitumia mara nyingi)
Lehautestyle – I think one style tip that i can say i live by is if you want to make your outfit feel ten times better , feel more confident is to put on a pair of good high heels , they have a way of making a basic outfit look super stylish
Afroswagga – Tutajie pieces tatu ambazo unahisi kila mwanamke ana paswa kuwa nazo katika kabati lake
Lehautestyle -A good pair of jeans
Button – down shirt ( white , black or with stripes)
A lightweight black blazer
Afroswagga-Kama ungepewa nafasi ya kuchagua kabati la mtu yoyote maarufu ungechagua kuchukua kabati la nani?
Lehautestyle -Easily, Christine Centenera.
Afroswagga -vipodozi vitatu ambavyo huwezi kuishi bila hivyo?
Lehautestyle -I rarely use or have makeup so i will say three things that i think one should have , Lipstick , Foundation and brow kit.
Afroswagga – Tutajie fashion trend ambayo huwezi kuijaribu hata siku moja
Lehautestyle -If you notice my personal style you’ll know try out different trends and since fashion keeps changing and my personal style keeps growing , i can not say for sure what trend i won’t try , maybe shorts and leggings ( i hate it that pair put together )
Afroswagga- kama tukichungulia kwenye handbag yako tutakuta nini?
Lehautestyle -I have alot in my bag but five things you will find in my bag mostly is, a black pen , notebook , perfume, wet wipes and wallet
Afroswagga – accounts zako pendwa ulizo zifollow Instagram/Snapchat
Lehautestyle -I am not big on snapchat so i will mention my top 5 accounts on instagram at the moment ; Chrisellelim , thinkpoppy , serrabellum , africanbloggers_ , the.wing,
Afroswagga- una kila kitu kuhusu fashion, fashion blogger, stylist, creative director nini ushauri wako kwa wasanii wetu kuhusu fashion?
Lehautestyle – I think it should be working more with creatives from the fashion industry i.e stylists , and not the same ones all the time. They should also try to dress according to the occasion
Asante Lehautestyle kwa ushirikiano wako na ni matuaini yetu wasomaji wa afroswagga watakuwa wamejifunza vingi, click Lehautestyle kuingia katika blog yake.
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-fashion-tips-kutoka-kwa-stylist-fashion-blogger-lehautestyle/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 85145 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-fashion-tips-kutoka-kwa-stylist-fashion-blogger-lehautestyle/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-fashion-tips-kutoka-kwa-stylist-fashion-blogger-lehautestyle/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-fashion-tips-kutoka-kwa-stylist-fashion-blogger-lehautestyle/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-fashion-tips-kutoka-kwa-stylist-fashion-blogger-lehautestyle/ […]