SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

BEST FRIENDS OUTFIT IDEAS
Mitindo

BEST FRIENDS OUTFIT IDEAS 

Kwa wasichana wasiku hizi wanaitana Bff yaani best friend forever au bf as best friend, lakini your bff ain’t your bff kama wote hamslay yaani yeye au wewe una pendeza kuliko mwenzio ndio urafiki gani huo sasa? raha ya urafiki wote mpendeze na kama ku disappoint wote m- disappoint japo hatuombei kuwa hivyo, leo katika pita pita zetu tulitembelea page ya slayer chicamastyle ambae tulikuta ame collaborate na slayer mwingine anae itwa styleyourselfie moja kwa moja tuka sema kwanini tusi share na wasomaji wetu wapate kuona jinsi ambavyo wanaweza kutoka na marafiki zao wakiwa wame pendeza kwa pamoja

Matching outfits – kuna wale ambao huwa mna jiitaga twins hapa ndio mahala pake pa kuonyesha kuwa ninyi ni mapacha kwa kuvaa nguo sare sare yeah hii style ya kuvaa sare kidogo ime potea but why not kama the outfits zime kuwa putted well together

Shtriped shirt & denim ( accessorize,accessorize,accessorize)

All white type of day, well put some green on it and lemonade shoes

Striped blouse na jeans casual look

Wedding guest outfit ideas- hapa gauni zina fanana ila rangi tofauti love love love

Sequin babes

LBD- little black dress

office look/cooperate/business women look hapa wamevaa black trouser na embroiled blouse well putted together

Casual & chic

ukiona hii muonyeshe rafiki yako mwambie this could be you but yeye m’bahili lol

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts

1 Comment

  1. สล็อต xo

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-friends-outfit-ideas/ […]

Leave a Reply