SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Best Looks From The 2018 American Music Awards Red Carpet
Mitindo

Best Looks From The 2018 American Music Awards Red Carpet 

Usiku wa kuamkia leo huko kwa wenzetu kulikuwa na America Music Awards 2018, watu maarufu mbalimbali walionekana kuhudhuria hafla hii katika ukumbi wa Microsoft Theater, Los Angeles, California huko United States na hawa ndio ambao tulipenda mavazi yao katika red carpet.

Amber Heard, she showed us ski, gave us a little cleavage, sleek hair & minimum make up, red carpet appropriate tumependa kila kitu kutoka kwake she slayed effortless

Tylor Swift in Balmain mid dress na matching thigh high boots, she looked like a moving disco ball, tumependa kwamba amekuwa tofauti.

Cardi B went extra in Dolce & Gabanna floral dress, Cardi gave us nature amekosa vindege tu hapo, we love the dress this is how you make a statement, all eyes on you.

J.Lo in this pink number she never ages & never disappoints linapokuja kwenye swala la fashion

Mwanamuziki Ella Mai in over sized light blue suit, love it.

Ella Mai na Tracee kama walikuwa wame match hivi in suit na hizi choker, well Tracee yeye alivaa pink suit akamalizia na diamond choker na hereni ndefu, huyu mwanamama ni moja ya wale wanamama wanasema tutabanana hapahapa hatuzeeki na tuna slay.

G Eazy and Halsey

Bebe Rexha pop-in in sequin number

Related posts