SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Best Looks From The Grammy’s 2019
Mitindo

Best Looks From The Grammy’s 2019 

Ule usiku mkubwa ambao huwakutanisha wanamuziki mbalimbali katika kuwania Tuzo za mwaka za Grammy’s umefanyika jana yaani, kwetu ni usiku wa kuamkia leo, well tunapoongelea usiku wa Tuzo we all know lazima kuwe na red carpet na wanamuziki mbalimbali kuhudhuria. Kama ilivyo ada yetu sisi huwa tunatoa tuzo zetu kwa waliofanya vizuri na vibaya upande wa mavazi, let’s start na the best.

Cardi B In  Mugler’s 1995 couture collection

Highlight kubwa katika red carpet ya Grammy’s mwaka huu ni hii outfit kutoka kwa rapper Cardi B, wakati wengine wakiangalia mbunifu gani katoa collection mpya mwaka huu (latest collection) stylist wa Cardi B yeye aliamua kuturudisha 1995-1996 kwa kumchagulia hili gauni kutoka kwa mbunifu Mugler ambapo ilipitishwa katika collection ya winter/fall. Gauni ilikuwa na rangi ya pink na nyeusi, ambapo juu alivalia blush embellished body suit, hair and makeup on point, kitu ambacho tunaweza kusema ni “this is how you show up and shut down” Cardi did that.

Dua Lipa in Versace Dress 

Dua Lipa ameattend kwenye Grammy awards akiwa amevalia hii Versace strapless gown, well she gave us ice queen, elegance, body hugging, skin showing but yet a statement, tumependa alivyoongezea na statement necklace huku akikamalizia na simple makeup, as her song says I got new rules, I count ’em with this dress an ex would definitely dare to take her back but guess what? she wont pick up the phone

Miguel 

Miguel rocks the Grammy Awards red carpet akiwa amevalia a pair of purple trousers ana an  embellished cream suit jacket, wakati ndani akiwa amemalizia na cream shirt to match the jacket na chain, we love this look on him.

Janelle Monae in Jean Paul Gaultier

Janelle gave us geometry in this look, she gave us lines, points, and solids, well amevaa hii white and burgundy short dress ambayo ina V cut and bold shoulders akiwa amemalizia na embellished hat, love this look and the velvet point toe pumps.

 

Alicia Keys In Giorgio Armani

Hpst of the night Alicia Keys alistep on the carpet akiwa amevalia hii red Giorgio Armani gown, amemaliza muonekano wake na accessories kama necklace, pete na hereni as usual she went for no makeup look.

Camila Cabello in Armani Privé

Camila Cabello attended the grammy in this pink sparkly column  gown with a sexy open back, sometimes all you need is that statement dress to make a statement this is what we say she slayed effortlessly hajatumia nguvu.

 Heidi Klum

Related posts

2 Comments

  1. สล็อตเว็บตรงpg

    … [Trackback]

    […] There you will find 51859 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-looks-from-the-grammys-2019/ […]

  2. additional hints

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-looks-from-the-grammys-2019/ […]

Comments are closed.