Ni week nyingine tena, ambapo tumeona April imeanza na masham sham kutoka kwa watu maarufu mbalimbali. Tumeona tuwape looks ambazo zimetuvutia toka April ianze mpaka sasa, hizi ni baadhi tu ambanzo zilipita kwenye upeo wa macho yetu inawezekana kuna wengine lakini tulishindwa kuwaona.
Tunadhani Diamond akazie hapa kwa mwaka huu, very simple yet stylish. Petitman amependeza na kuonekana clean na hii black & white look.
Kwaupande wa kinadada hizi looks mbili zilituvutia zaidi, kutoka kwa Nandy na Rosed Makeup, well as tumesema hapo juu inawezekana kuna wengine ambao nao walipendeza lakini bahati mbaya hawakupita machoni mwetu
Tuambie look ya nani umeipenda zaidi kati ya hizi nne ambazo tumeziona?
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 78507 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-looks-of-the-week/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 2175 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-looks-of-the-week/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 37553 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-looks-of-the-week/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/best-looks-of-the-week/ […]