Katika gazeti la Beat mwezi huu,Mwanamuziki Beyonce au Queen Bee. Bee ameonekana akiwa amevalia simple sio kama katika magazeti mengine , Bee ame vaa swiming suit nyeupe ikiwa na maandishi mekundu ya neno Beat ambalo ndio jina la gazeti huku akiwa ame jifunika bendera ya U.S. Haya ndo mahojiano yao
On success and fear:
“What does fear taste like? Success. I have accomplished nothing without a little taste of fear in my mouth.”
On what she’d be for Halloween:
“Destiny’s Child Survivor era with the army fatigues. Or maybe Bootylicious with the gold tooth and pink tips in my hair.”
On what she sings in the shower:
“Holy Ghost by Kim Burrell”
On the last song that was stuck in her head:
“Jugg by Fetty Wap”
On what she has on her pizza:
“Extra tomato sauce and jalapeños”
Source: Beat Magazine
Related posts
1 Comment
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/beyonce-asema-anacho-hofia-katika-beat-magazine/ […]