Beyonce ni moja kati ya watu maarufu ambao huwa hawatabikili, she always go extra miles linapo kuja swala la red carpet. She almost alwaye gets the memo huwa anavaa accordingly na event na ana hakikisha ku-make a statement kupitia mavazi yake, Juzi kulikua na event ya mama yake Beyonce iitwayo Wearable Art Gala, event hii imekuwa founded na Tina Knowles na mume wake Richard Lawson so Beyonce na familia yake ilikuepo kuwa support.
Kama ambavyo tumesema Beyonce don’t play aliattend event hii in gold gown ambayo ilikuwa very artistic as the name of event
Gauni limebuniwa na in custom fashion house kutoka India iitwayo Falguni Shane Peacock, well huyu mbunifu he deserve an award cause this is art & this is what a queen to wear.
Beyonce alimatch na mwanae Blue Ivy in gold number
we love the dress & the art on it.
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/beyonce-channeling-nubian-warrior-queen-amanishakheto-at-wearable-art-gala/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/beyonce-channeling-nubian-warrior-queen-amanishakheto-at-wearable-art-gala/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/beyonce-channeling-nubian-warrior-queen-amanishakheto-at-wearable-art-gala/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/beyonce-channeling-nubian-warrior-queen-amanishakheto-at-wearable-art-gala/ […]