wakati wa Africa mimba zetu mara udongo, mara mahindi ya kuchoma kwa Beyonce yeye imekuwa tofauti mimba yake yeye ni Gucci Gucci tu lol (kidding) Well No body does Gucci kama The Carters Family, week chache zilizo pita beyo alikuwa midomoni kwa watu kwa kuvaa kimono cha Gucci cha thamani kubwa kidogo na week hii katika premiere ya Beauty & The Beast Beyonce ameonekana ku flaunt mimba yake katika Gucci Greenery Dress
gauni ina thamani ya $28,000 sawa na Tzs 61,600,000 za kibongo ali vaa gauni hili na gold Alaia shoes
Bayonce ali match na mwanae Blue Ivy
lakini pia Jay Z baba wa familia alikuwepo na yeye ali rock Gucci Embellished Denim Coat yenye thamani ya $5,000 sawa na Tzs 11,000,000
Is It Safe ku add Gucci katika The Carters Name? Inawez kwenda as The Gucci Carter’s au The Carters Gucci Lol Cute Family Though
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/beyonce-flaunts-her-baby-bump-in-gucci-greenery-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/beyonce-flaunts-her-baby-bump-in-gucci-greenery-dress/ […]