Wakati week iliyopita tulimuona Rihanna alivyo break internet katika cover ya British Vogue September Issue akiwa ame make – headlines na nyusi zake za sina mume,
Beyonce yeye ame Grace Vogue September Issue With Minimum Makeup And Natural Hair, cover ya Beyonce kidogo imetaka kuendana na Rihanna kwa kuweka maua kichwani, seems like snapchat filter is making waves in real world watu wengi wameonekana kuliongelea hili wakisema Beyonce ame copy kwa Rihanna
Well Bey went minimum on her makeup, akavaa a white dress na maua kichwani, ameamua kuachia maua na gauni viongee while serving face in her no makeup makeup look
Katika hii magazine ameongelea vingi ikiwepo wanawake kujipenda jinsi walivyo Beyonce Alisema “I think it’s important for women and men to see and appreciate the beauty in their natural bodies. That’s why I stripped away the wigs and hair extensions and used little makeup for this shoot”
Lakini pia amepiga picha aina tofauti tofauti out favorite ni hii ambayo alivaa hii colorful ruffle dress ( trending right now), akiwa amesukia corn braids amemalizia na big hoop earrings na simple makeup tuseme the magazine is all about what she is wearing lather than the hair & makeup
Since the met gala halo spikes head pieces zimekuwa zikitrend well Beyonce made it official kwa kuvaa spike katika hii Vogue Magazine ambapo yeye alichagua ya gold akiwa amemaliza kwa kuvaa na gold dress ( drip drip dripping )
Ameongelea vingi katika gazeti hili unaweza click hapa kusoma Vogue
Related posts
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…