Usiku wa kuamkia leo tuzo kubwa za Grammy’s zilifanyika huko Los Angeles, U.S.A watu maarufu mbalimbali walihudhuria akiwepo the Queen herself, Queen B ambae amevunja record ya kuwa mshindi wa Tuzo nyingi za Grammy’s anyways Beyonce alienda kupokea Tuzo yake akiwa amevalia corset top na metallic skirt kutoka kwa Gucci akiwa amevalizia muonekano wake na silver heels.

Tulichoweza ku-spot katika vazi hili la Beyonce ni kwamba kiatu kilikuwa over sized au mguu ulikuwa unateleza na ukasogea mbele na kusababisha kuacha gap kubwa nyuma ya kiatu.

Kama tatizo halikuwa kiatu bali ni mguu kuteleza basi Bey alikuwa na nafasi ya kufanya vitu hivi vitatu ili kuepukana na hii dhahma, kutumia Hair Spray kupulizia kwenye nyayo zake au kutumia double sided tape

Unaweza kusoma zaidi namna ya kufanya endapo una hili tatizo hapa Tip Ya Kuondokana Na Vidole Kutokeza Nje Ya Kiatu
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 71273 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/beyonce-na-oversized-shoes-at-the-grammys/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 46772 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/beyonce-na-oversized-shoes-at-the-grammys/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/beyonce-na-oversized-shoes-at-the-grammys/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/beyonce-na-oversized-shoes-at-the-grammys/ […]