SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Beyonce’s Renaissance Tour Dresse’s You Can Copy
Mitindo

Beyonce’s Renaissance Tour Dresse’s You Can Copy 

Queen Bee is on tour na kama kawaida Bey huwa haplay linapokuja kwenye swala la kukonga nyoyo za mashabiki wake, A black skin girl hit maker huwa ana make sure sio tu vocals na dancers wanakuwa vyema ila pia muonekano wake head to toe, outfit, shoes, accessories, makeup & hair we bet she smells good too.

Anyways haya ni magauni ambayo tumeyaona kutoka kwake unaweza ku-copy ukavaa kwenye sherehe kama wedding guest, reception dress, engagement day dress au hata kwenye red carpets.

Silver & white

Black & White

a pop of color

Extravaganz

tungependa kujua Budget ya mavazi,makeup, accessories na shoes ya hii tour kwa maana Bey really went off hizi ni long dresses kuna fupi, jumpsuits, na her favorite body suits

Related posts