Week iliyopita imeonekana kuwa na birthday za watu maarufu nyingi, na wengi walionekana kufanyia photo shoot tumeona si mbaya kama tukifanya review na ku-judge outfit zao.
Fashionista Bonang Matheba turned 33 akiwa amevalia hii co ord set, tumependa hii photoshoot imeendana na hali ya sasa hivi as we all know Corona bado ipo Bonang yeye aliamua kufanya photoshoot yake ndani, dressing simple yet chic, we loved the makeup.
Tuna Chioma The Good Hair all the way from Nigeria, Chioma killed, Chioma Smashed, Chioma Slayed, Chioma dragged us to cemetery, Alivaa hii mermaid black dress yenye statement sleeves, ambapo hii gauni ilikuwa attached na statement necklace yes hii imeshonewa sio pambo, we loved the hair and makeup.
Rose Michael au wengi tunamjua kama rosed_makeup yeye alisheherekea birthday yake in two dresses ambapo alikuwa na white dress mwenyewe anasema haikushonwa ilifungwa tu na shu_salon na ya red ilitoka kwa mbunifu mahaumes, tumependa magauni yote mawili na makeup ilikuwa on point
Well Afromates tuambie birthday photoshoot ya nani ambayo umeipenda zaidi?
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/birthday-review-photoshoots-from-bonang-matheba-chioma-good-hair-rose-michael/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/birthday-review-photoshoots-from-bonang-matheba-chioma-good-hair-rose-michael/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/birthday-review-photoshoots-from-bonang-matheba-chioma-good-hair-rose-michael/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/birthday-review-photoshoots-from-bonang-matheba-chioma-good-hair-rose-michael/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/birthday-review-photoshoots-from-bonang-matheba-chioma-good-hair-rose-michael/ […]