Mwanamitindo na mjasiriamali Blac Chyna ameingia katika vichwa vya habari baada ya kutangaza kuondoa implants zake za butt na maziwa, Blac Chyna ni moja kati ya watu maarufu wengi waliobadilisha miili yao miaka kadhaa nyuma lakini pia ni moja kati ya watu maarufu wengi ambao wametangaza kuondoa implants / surgery hizo.
Miaka mchache nyuma tumewaona watu kama Kylie Jenner, Kim Kardashian, Khloe Kardashian na wengine wangi wakizitoa implants hizi je ni the end of implants era?
Well kupitia account zake katika mitandao ya kijamii Blac Chyna amepost video akieleza sababu ya yeye kutoa implants hizo ambapo alisema yupo kwenye level nyingine kimaisha lakini pia anafanya kwaajili ya wanae,
Black Chyna: As y’all know, I’ve been changing my life and changing my ways,” she said in the first clip filmed prior to her surgery. “So, one of the things I feel like is going to take me to the next level is obviously taking some of these ass shots out.”
Blac Chyna amesema pia kuhusu makalio yake haikuwa Brazilian Butt Lift bali yeye alitolewa mafuta sehemu kadhaa na kuongezewa kwenye makalio lakini pia alishauri wengine kwa kusema “all the ladies out there to know, do not get silicone shots.”
“Because you can get sick, you can die, have complications and all this other crazy stuff,” she continued. “I haven’t had any crazy complications since I got it, I got it when I was 19 years old. But now I’m moving here in life, so I want this s–t out of my ass so I can grow.”
Video Credit : E News
Black Chyna alipost video kadhaa na katika video yake iliyofatia aliongelea kuhusu kuondoa implants kwenye maziwa, Blac Chyna “hopefully my last time getting my breasts done.” Pia ameongeza anaondoa kucha zake ndefu “I’m gonna let all the other young ladies coming up, I’m gonna pass the baton, you know what I’m saying? Stepping into a different way.”
Kwenye Video ya mwisho Chyna alisema “I’m in recovery mode right now, I’ve got my bandages on. As you can see, got my breasts reduced, one of the best decisions I could have done in a very long time.”
Pia amesema surgery yake ya kupunguza makalio imechukua muda mrefu kuliko ilivyo tegemewa
“Normally my procedure would have taken four hours tops,” amesema “My procedure took over eight and a half hours, y’all, because of the simple fact that whatever that silicone mass in my buttocks…it kept clogging the machine and breaking the machine.”
Blac Chyna amefunga pia account yake ya only fans week chache nyuma.
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…