Imalaika – Kwangu fashion siyo about brands au expensive stuffs, ni kitu ambacho kipo within me na kinanielezea kuhusu mimi na identity yangu kabla sijaongea chochote.
Imalaika – Nina ratiba ya mwanangu na ya kwangu kwa vitu vingi sana hii kwangu imekua rahisi nakuwa sina muingiliano wowote wa mambo yangu na ya kulea mwanangu, kila kitu kinakwenda kwa ratiba yake, pia napenda kuwa maridadi hiyo inachangia pia. 🙂
Imalaika – Aaaaah! Hapana sina workout routine yeyote, ila huwa nafanya mazoezi ya kawaida siyo kila siku na pia hayapo rasmi, kwa ajili ya kujiweka vizuri kwa afya.
Imalaika – Personal shopper ni mtu ambae analipwa kununua vitu kwa ajili ya mtu. Kwa kazi yangu natoa ushauri wa vitu kwanza kwa client kabla ya manunuzi.
Imaika – I would say Sassy and classy with a little bit of tomboyish.
Imalaika – Nothing ever goes out of style.
Imalaika – Bonang Matheba.
Imalaika – I will never wear sock boots.
Imalaika – Kuwa makini sana na nguo za ndani, bra, panty, spanx n.k ukikosea hizo unaharibu muonekano wako wote wa nje.
Usizidishe accessories, they say “always less is more”.
Vaa kutokana na wakati, mazingira.
Imalaika – Tujifunze kujipenda na kujiamini wenyewe kwanza na mapungufu yetu kabla ya kutaka kukubalika na jamii.
Kama ungependa kumfollow Instagram bonyeza hapa @imalaika, kusoma interview nyingine ya celebrity stylist bonyeza hapa
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/blogger-feature-10-questions-with-fashion-blogger-imalaika/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 6115 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/blogger-feature-10-questions-with-fashion-blogger-imalaika/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 24595 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/blogger-feature-10-questions-with-fashion-blogger-imalaika/ […]