Sidhani kama kuna mpenda fashion asiye mjua Jokate Mwegelo ila incase humji au ume msahau, Jokate aliwahi kuwa Miss Tanzania alishika nafasi yapili mwaka 2006, pia ni mjasiriamali,mwanamuziki, model na muigizaji, In short Jokate ni female version ya hustler. Leo Jokate ame tupa blue monday chills na gauni lake alilo libuni mwenyewe.

Its a blue caped dress that fit her perfect, Jokate nae huwa si mtu wa sport sport. make up yake ipo on point, hair style on point na accessories on point basi ali mradi kapendeza na she looks flawless

Jokate ame post picture zake hizi na caption “it’s your darling Jojo again. Made this dress last year, it never made the cut 😂. Dress Made in Tanzania by myself and my best designer @jacquescollection 

Comments

comments