SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Bob Risky Serving Body For Her Birthday Photoshoot
Mitindo

Bob Risky Serving Body For Her Birthday Photoshoot 

Bob Risky ni internet personality kutoka Nigeria, Bob amepata umaarufu kutokana na kuvaa kwake nguo za kike. Mwaka huu Bob alienda kufanya sugery ya mwili wake na kuongeza hips pamoja na kupunguza tumbo.

Well amesheherekea birthday yake na ameamua kutu-serve body kwenye birthday photoshoot zake ambapo tumeona amevalia purple body suit, lakini pia alikuwa na hii angelic 3 in 1 gold dress na mwisho tumeona akiwa amevalia leather jumpsuit. Huku katika mionekano yake yote amevalia thigh high boots.

Bob ame release hizi picha tatu ambapo zote amevalishwa na Ceo Luminee Official, we could all totally agree kwamba Bob is flaunting her new body for the world. Well let us know thoughts zako kwenye mionekano yake, ipi imekuvutia zaidi?

Related posts