SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Bold And Stylish Suit Looks From Last Week
Mitindo

Bold And Stylish Suit Looks From Last Week 

Week iliyopita hakukuwa na mambo mengi sana hasa upande wa watu maarufu wakike Nchini, lakini kwa wakaka inaonekana kama wamepania mwaka huu, well tumeona baadhi ya watu maarufu wakiume ambao walikuwa wamevalia suit zikiwa bold na ku-make statement kwa namna moja au nyingine.

Tumemuona mbunifu Martin kadinda akiwa amevalia carrot color suit, tumependa rangi na choice ya accessories, Tumemuona mwanamuziki Mbosso akiwa amevalia suit ya kijani na viatu vyeupe making bold moves

Tumewaona pia wanamuziki Harmonize pamoja na Dogo Janja wakiwa so fresh so clean in white suit.

well tuambie nani amekuvutia zaidi na look yake?

Related posts

4 Comments

 1. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/bold-and-stylish-suit-looks-from-last-week/ […]

 2. Ufabet

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/bold-and-stylish-suit-looks-from-last-week/ […]

 3. passive income investments

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/bold-and-stylish-suit-looks-from-last-week/ […]

 4. 토렌트 다운

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/bold-and-stylish-suit-looks-from-last-week/ […]

Comments are closed.