Ni Jumanne nyingine tena ambayo kwetu tunaaita Shoes-day kama kawaida siku hii huwa tunaongelea viatu, nani kavaa viatu gani na thamani yake ipoje leo tuna mwanamama Morjorie Harvey ambae ni mke wa mchekeshaji kutoka Marekani Steve Harvey, na Tv & radio host kutoka South Africa Bonang Matheba wakiwa wameonekana wakiwa wamevalia hizi sandals kutoka kwa  French fashion house Saint Laurent (YSL), Vilivyo pewa jina Iris 105 Sandals.

Viatu hivi vina feathers (manyoya) kwa nyuma ambayo ndiyo yamefanya vionekane interesting (statement) vinauzwa USD 639 sawa na TZS  1,478,007/-

We spotted Marjorie akiwa amevaa na hii short black dress akiwa amevalia na hivi viatu na accessories ndogondogo she went for a all black outfit.

Kama ambavyo Marjorie alivaa Bonang nae amechagua kuvaa viatu hivi na a very short bandage dress yenye bow touch ya leather mkononi huku akiwa amemalizia na big hoop earrings na miwani.

Unaweza kushop viatu hivi hapa ysl.com, and let us know your views on the shoes, Yay or Nay?

Comments

comments