SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

All The Looks Bonang Matheba Served At Miss South Africa 2023
Mitindo

All The Looks Bonang Matheba Served At Miss South Africa 2023 

South African media personality, Bonang Matheba amekuwa host katika Miss South Africa kwa miaka kadhaa sasa & hajawahi ku-disappoint kwenye swala zima la mavazi, amekuwa akitilia mkazo kwenye mionekano yake na mwaka huu alivaa magauni haya matatu, mawili yakitoka kwa Nigerian designers huku moja likiwa limebuniwa na designer kutoka South Africa

Look number moja ilikuwa hii hot pink extra vaganz dress yenye touch’s za silver. Alipost kwenye account yake kwenye mitandao ya kijamii huku caption yake ikisema “This Barbie is the most awarded OAP on the African continent, and tonight…she hosts Miss South Africa 2023. 💕🇿🇦

Custom @veekeejames_official, Makeup @joycejacob_jjb, Photography @thelagospaparazzi

Look ya pili ilikuwa hii custom made white drape dress kutoka kwa mbunifu @anncranberry, Jewellery @karlhajewels, Styled by @dahmola

Alimalizia usiku wake na hii black dress kutoka kwa mbunifu Custom @biji_la_maison
Styled by @dahmola

Tuambie look namba ngapi umevutiwa nayo zaidi?

Related posts