So Juzi ilikuwa birthday ya Jesus na watu wengi tuli sheherekea kwa kwenda ma kwetu na kusheherekea na Familia zetu, ila kwa wale ma Celeb wetu hawaku sahau kutuma salamu zao ya Christmas njema kwa namna moja au nyingine hawa ndio tulio waona waka tuvutia
Nancy Sumari na Familia yake waliamua Christmas yao iwe ya dakishi, keeping it African & We Love it
Millen Magesse yeye alivaa Mettalic skirt, Fur Coat yenye metallic kwa mbele iliyo endana na skirt, Miwani na snap back Na boots alipo kuna baridi we guess
Lavidoz went for one shoulder red dress (sexy sexy sexy) , yenye mpasuo, Pumps heels, inchi ngapi hio wenye kujua? kwa hii outfit we definitely know Lavidoz went for a date on Christmas
Jokate yeye alikuwa ni female santa
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…