SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Bottega Veneta Kuirudisha Square Shoes Style
Mitindo

Bottega Veneta Kuirudisha Square Shoes Style 

Wenzetu huwa wanafikiria sana hukusu brand zao, pale brand inapoonekana kuisha mashiko wanajaribu kuajiri creative director wapya na kuirudisha brand yao kwenye hadhi fulani. Mfano mzuri ni hii fashion brand iitwayo Bottega Veneta ( yes inawezekana hata kuisikia hujawahi maana ilishapotea kabisa), lakini imerudi kwa kishindo na hizi 90’s inspired trends.

Brand nyingi za viatu kwa sasa zinatumia triangle kubuni viatu vyao, ambapo mbele ya kiatu kinakuwa kimechongoka kama pembetatu, lakini Bottega Veneta wao wamekuja kitofauti wao wanatuma style ya pembe nne.

Watu maarufu wengi wameonekana kuvutiwa na brand hii, kama Kylie Jenner, Ini Edo na Toke Makinwa wakiwa wamevaa viatu hivi.

Toke Makinwa na Ini Edo wao walionekana wakiwa wamevalia Bottega Veneta Padded Sandals

Veneta Padded Sandals zinauzwa EUR 620 sawa na Tzs 1,585,526

Well Afromates Je ni clap or slap kwa hivi viatu?

Related posts

5 Comments

  1. my company

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/bottega-veneta-kuirudisha-square-shoes-style/ […]

  2. marijuana

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/bottega-veneta-kuirudisha-square-shoes-style/ […]

  3. Achieving financial freedom

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/bottega-veneta-kuirudisha-square-shoes-style/ […]

  4. Buy fn guns

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/bottega-veneta-kuirudisha-square-shoes-style/ […]

  5. Kardinal Stick

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/bottega-veneta-kuirudisha-square-shoes-style/ […]

Comments are closed.