Brad Pitt na Angelina Jolie ni wapenzi ambao wengi walikua wana watazama kama ndio mfano bora “couple goals” lakini wame washtua watu baada ya kutalikiana baaada ya kukaa muda wa miaka 10 wakiwa wapenzi na miwili ndani ya ndoa yaani jumla ni miaka 12. Katika miaka hio yote Angelina na Brad wame onekana katika red carpets za shughuli mbalimbali na leo tuna honor zile ambazo tulizipenda kutoka kwao
Angelina Jolie, amevalia gauni kutoka Emanuel Ungaro couture, na Brad Pitt at the premiere ya Ocean’s 13 in Cannes, France, May 2007.
Angelina Jolie, amevalia gauni kutoka kwa Atelier Versace, na Brad Pitt katika sherehe za Golden Globe awards in Beverly Hills, California, January 2009.
Angelina Jolie, ndani ya Versace, na Brad Pitt katika premiere ya Inglourious Basterds in Cannes, France, May 2009.
Angelina Jolie, kalishwa na Atelier Versace, na Brad Pitt katika Golden Globe awards in Beverly Hills, California, January 2011.
Angelina Jolie, amevalia Atelier Versace, na Brad Pitt katika Golden Globe awards in Beverly Hills, California, January 2012.
Angelina Jolie, ndani ya Versace, na Brad Pitt katika premiere of Maleficent in Hollywood, California, May 2014.
Angelina Jolie, ndani ya gauni kutoka kwa Versace, na Brad Pitt wakiwa katika premiere ya By the Sea in Hollywood, California, November 2015.
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…