SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Brand Hizi 3 Zinakupa Sale Msimu Huu Wa Valentine
Mitindo

Brand Hizi 3 Zinakupa Sale Msimu Huu Wa Valentine 

Issa February na sote tunajua February ni mwezi fulani hivi umakaa kima lovie dovie halafu ndio ukafanywa uwe mfupi, well ni valentine season yes kuna wengine ambao Valentine huanza mapema na ni vyema ikaanza mapema utafute zawadi mapema, well tuna brand za kitanzania ambazo tumeona wametoa punguzo la bei katika msimu huu wa Valentine na wana vitu vizuri kwa ajili ya mpendwa wako

 

Well kama unae mpelekea zawadi ni wa kike basi hapa ni mahala pazuri pa kwenda kumtafuta zawadi, Bijoux ni wabunifu wamavazi na huwa wanabuni sana mavazi kwa kutumia vitu vya asili kama batiki, vitenge na khanga, wana punguzo la bei la mpaka asilimia 30%

Hii ni brand ya viatu ya ,muigizaji,mchekeshaji,na mjasiriamali Idris Sultan, anauza viatu classic vya kiume vile vya alitumia babu mpaka mjukuu ana tumia, yes vyenye ubora huo, well wametoa punguzo la bei la asilimia 30% kama unataka kumnunulia mpendwa wako wa kiume viatu basi tembelea sultan by for men unaweza kupata hitaji lako kwa bei chee

 

 

Brand ya mavazi ya kiume na ya kike lakini ime base na suit sana nao wametoa punguzo la bei, kwa siku 30 za mwezi february watauza shirt, suruali na skirt walizo zibuni kwa shilingi elfu 45,000/- tu, kama ungependa kumpa mpendwa wako zawadi ya corporate awe anavaa kazini, business meetings au sehemu nyingine mbali mbali ambazo zinapaswa kuvaa mavazi hayo basi speshoz ndio kimbilio lako.

 

Related posts

1 Comment

  1. สล็อตวอเลท

    … [Trackback]

    […] Here you can find 46644 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/brand-hizi-3-zinakupa-sale-msimu-huu-wa-valentine/ […]

Comments are closed.