SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Branded Socks Are The New Anklet
Mitindo

Branded Socks Are The New Anklet 

Mwaka jana tuliona namna gani kuvaa heels na socks ilivyo trend lakini mwaka huu sio tu socks alimradi socks bali ni branded socks. Kutoka kwenye runways za wabunifu mbalimbali tumeona branded socks ndio zina make headlines brands kama off whites wame toa socks lakini pia tumeona brand ya DHL ikicollaborate na brand ya VETEMENTS na kutoa socks, that made us go mmh really?

Ukiachana na runways na designers tumeona wasanii na watu maarufu mbalimbali wakiwa wamevaa aina hii ya socks Jeniffer Lopez na mwanamuziki Tiwa Savage walivaa socks aina ya Gucci zinazo fanana they made us wonder who rocked them better?

Jennifer Lopez alivaa socks hizi za Gucci na tutu skirt na fur sweater akimalizia na open heels zenye rangi ya purple.

Tiwa Savage yeye alichagua kuwa a Gucci woman rocking full gucci outfit na high heels.

 

Mtu maarufu mwingine aliye onekana na trendy hii ni Marlo Hampton ambae yeye alivaa Balenciaga pop socks na full black outfit

stylist’s na fashion bloggers mbalimbali wameonekana kuvutiwa na trend hii pia,

Temi Otedola rocked vetement’s green socks colorful heels wakati akiwa interviewed katika Accecerate Tv, well the socks & shoes made a statement katika outfit yake.

Tosin Adegbite

Unaweza kujiuliza je Afroswagga tumeipenda hii trend? jibu letu ni NDIO, Yes Yes Yes as hakuna accessories nyingi za viatu na zilizopo nyingi zinapigwa vita kwa kusemekana na maana mbaya kama vikuku we think hii ni trendy nzuri kunogesha outfit yako na kudraw attention miguuni, tuambie wewe kwako je is it a Yay or Nay?

Related posts

6 Comments

  1. roof skylight

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/branded-socks-are-the-new-anklet/ […]

  2. avença informática

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/branded-socks-are-the-new-anklet/ […]

  3. rudee11

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/branded-socks-are-the-new-anklet/ […]

  4. https://nchc.org/nutrition/weight-management/phenq-reviews/

    … [Trackback]

    […] There you can find 3582 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/branded-socks-are-the-new-anklet/ […]

  5. slot88 online

    … [Trackback]

    […] Here you will find 56973 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/branded-socks-are-the-new-anklet/ […]

  6. ห้องพักรายวัน รามอินทรา

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/branded-socks-are-the-new-anklet/ […]

Comments are closed.