Ikiwa Fashion Week Ime hamia London sasa hivi, hizi ndizo nguo zilizo onywesha na kampuni ya Burberry, katika show hio kulikua na watu maarufu wengi kama Cara Delevingne, Sienna Miller, Kate Moss, Sam Smith, Maggie Gyllenhaal, Jourdan Dunn, Naomi Campbell, na Mario Testino lakini hao ni baadhi tu.
Nguo za Burberry Spring & Summer 2016 zilikua za kibunifu zaidi ambapo nyingi zilikua za lace, Silk na Leather pia rangi zake ni zilizo tulia lakini kikubwa na kizuri zaidi nguo hizi zime buniwa na kushonwa kwa usafi zaidi ambapo hata ukiiona kwenye picha lazima utavutiwa nazo. Baadhi ya vipande vya show hio ni:
[URIS id=1717]
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/burberry-katika-lfw-london-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/burberry-katika-lfw-london-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/burberry-katika-lfw-london-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/burberry-katika-lfw-london-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/burberry-katika-lfw-london-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/burberry-katika-lfw-london-fashion-week/ […]