SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Burna Boy In Men Purse Trend
Mitindo

Burna Boy In Men Purse Trend 

Mwanamuziki kutoka Nigeria Burna Boy ameonekana kuvutiwa na trend ya men purse, hii trend imeanza kuonekana mwishoni mwa mwaka jana. Ambapo tuliwaona wanamuziki na watu maarufu mbalimbali wa kiume wakiwa wamevutiwa na trend hii mmoja wapo akiwa Diamond Platnumz.

Burna yeye alibeba bag aina ya Bottega Veneta, inaiwa Cassette bag yenye rangi ya neon lime, bag hii inauzwa usd 2,100/- sawa na Tsh: 4,867,797.90

  • DESCRIPTION
  • DETAILS

• Cross-body bag in a double-face maxi weave
• Made with wide double-face Nappa strips in an orthogonal weave
• Interior is identical to exterior; fitted with a zipped pocket
• Magnetic closure
• Adjustable shoulder strap folds inside the bag to carry as a clutch

Kama ungependa kununua unaweza kuingia hapa Bottega Veneta kwa maelezo zaidi.

Related posts

1 Comment

  1. พนันบอล

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/burna-boy-in-men-purse-trend/ […]

Comments are closed.