SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Can We End The Too Much Bling Bling Trend?
I'm A Celebrity

Can We End The Too Much Bling Bling Trend? 

Imekuwa tabia ya watu maarufu wengi kuvaa jewelry nyingi aina tofauti tofauti katika mavazi yao, hatujajua lengo la kuvaa hivi ni nini kama ni kuongezea minogesho katika mavazi yao au kutuonyesha kwamba wanauwezo wa kumiliki vito vya gharama.

We love when this trend is done well and with real jewelries lakini pale wanapovaa hii trend vibaya na ni fake staff tunakuwa na ile feeling ya jamani kwani ni lazima? who are you trying to impress?

We would actual love to see you guys mkiwa mmevaa jewelry chache ambazo ni original na zipo well styled au hata fake lakini zikiwa styled vizuri.

Tunajua accessories zinanogesha muonekano wa mavazi yetu lakini haimaanishi tutembee kama bango la urembo la wamachinga kwamba umevaa kila kitu kwa wakati mmoja, miwani, mikufu, pete, saa go slow najua wapi uvae nini, kipi kinaendana na kipi. Sometimes less is more unaweza kukuta umevaa vizuri na kupendeza ila unakuja kuharibu na too much bling bling.

Well afromates tuambie wewe maoni yako ni yapi kuhusiana na hii trend ya bling bling much?

Related posts