Rapper Cardi B alitangaza ujauzito wake jumapili hii akiwa ana perform katika show ya saturday night live, Japo watu walikuwa tayari wameshaanza kumuhisi Cardi na kama amefanya ionekane official tu. Cardi ana ujauzito ambao amepewa na rapper mwenzie Off Set Kutoka katika kundi la migos. Well hongera Cardi Na Off Set.
Kwetu tunaangalia Fashion, jinsi gani ana vaa katika kipindi hiki & we must say Cardi Is SLAYING, mitoko yake mingi ni ya ku-dare sio ile usual ambayo tumezoea kuona kwa watu maarufu wengi.
Hii ilikuwa kabla ya kutangaza ujauzito alienda ku-perform E11EVEN Night Club iliyopo Miami akiwa amevalia versized shiny red and pink striped ruffled dress, her face shout am pregnant lol.
Akiwa SiriusXM Studios, New York City, Cardi alivaa hii over sized blue, red & black dress ambayo mbele imewekwa picha na kuandikwa maneno ” Paradise” a pregnant woman needs her comfy sometimes. Amemalizia muonekano wake na black boots we love the hair & makeup Glowing.
Hapa ndipo alipo onyesha ujauzito wake akiwa katika SNL alivaa skintight white gown, Kutoka kwa mbunifu Christian Ciriano, too cute.
Hapa akiwa ana perform katika show ya The Tonight Show with Jimmy Fallon, akiwa amevalia latex body suit nyeusi iliyo zungushiwa mikufu ya rangi ya gold styled with black fishnets and a blonde pixie wig. Mom Go to work and slay baby.
Neutral Colors for Jimmy Fellon Show, Doesn’t she look amazing? and that hair color is agh life.
Debuting her street style Cardi B alionekana akiwa amevalia belted cold-shoulder denim top, pearl-lined shorts, na white boots. Oh Cardi this is our favorite.
black & white feathered outfit, okay kama asinge kuwa the green hair Cardi angeonekana kama bao la draft.
Outfit ipi imekuvutia zaidi?
Related posts
8 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/cardi-b-anavyo-slay-katika-ujauzito-wake/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 14085 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/cardi-b-anavyo-slay-katika-ujauzito-wake/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/cardi-b-anavyo-slay-katika-ujauzito-wake/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 16123 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/cardi-b-anavyo-slay-katika-ujauzito-wake/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/cardi-b-anavyo-slay-katika-ujauzito-wake/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/cardi-b-anavyo-slay-katika-ujauzito-wake/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/cardi-b-anavyo-slay-katika-ujauzito-wake/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/cardi-b-anavyo-slay-katika-ujauzito-wake/ […]