SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Cardi B Wore Eye Catching Jewelry On Her Maternity Photoshoot
Mitindo

Cardi B Wore Eye Catching Jewelry On Her Maternity Photoshoot 

Rapper Cardi B anatarajia kupata mtoto wa pili, Rapper huyu alifunga ndoa na rapper mwenzie Off Set mwaka 2017, na mwaka 2018 walimkaribisha mtoto wao wa kwanza Kulture, seems like Kulture anatarajia mdogo wake.

Jumapili wakati akiwa anaperform katika BET awards, Cardi B ali-reveal kwamba ni mjamzito lakini pia alipost picha za photoshoot yake katika account zake kwenye mitandao ya kijamii. Photoshoot hazikuwa na hekaheka bali kilichotuvutia hasa ni hizi statement Jewelry alizozivalia hizi ndizo zimebeba muonekano mzima wa photoshoot zake.

Tukianza ambayo yupo na Offset akiwa kifua wazi unaweza kuona hereni na bracelets zake ndizo hasa zilizoleta chachu kwenye hii photoshoot, akini pia kuna ambayo yupo mwenyewe amevalia bracelets na hereni pia, pia ambayo amevaa all white na mwanae wa kwanza Kulture wakiwa wamevalia mavazi meupe na hereni pamoja bangili.

Kupitia hizi photoshoot tunameweza kuona power of accessories.

Related posts