SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Cartoonish Shoes Are The New It
Mitindo

Cartoonish Shoes Are The New It 

Kama mwaka jana tulisema tumechoka na viatu vya midoll basi tujue mwaka huu tunavyo ila hapa ni kwa design nyingine, seems like foot wear companies wameamua kutengeneza viatu vinavyo kuwa inspired na cartoons.

Mwezi wa pili mwanzoni tuliona watu maarufu mbalimbali wakiwa wamevalia boots nyekundu, boots hizi ziko inspired na cartoon Astro Boy, viatu hivi vimetengenza na kampuni mschf na vimepewa jina mschf red boots.

Viatu hivi vinauzwa $350 sawa na tsh 819,000 na vikiwa vimevaliwa na watu maarufu kama Lil Wayne, Aggy Azalea, Janelle Monae na Coi Leray

Tanzania tulimuona navyo mwanadada Irene Uwoya huku Kenya vilivaliwa na Eric Omondi, vya Eric vilikuwa DIY na sio real boots.

Baada ya viatu hivi ku-trend zimetoka habari kwamba makampuni yanaweza kutoa viatu vilivyokuwa inspired na cartoon ya Super Marioo na Teletubbies

Tupe maoni yako je umependa ubunifu huu wa viatu au cartoon should stay in cartoon’s world?

Related posts