Ni sherehe ambayo ina fanyika mara ya tatu sasa ambayo inakua hosted na mwanamuziki Rihanna kwa ajili ya kurise fund kusaidia jamii katika Elimu na Afya ameipa jina Clara lionel Foundation kutokana na majina ya bibi na babu yake Clara and Lionel Braithwaite, angalia jinsi ambavyo mastaa mbali mbali kutoka mtoni walivyo tokelezea katika sherehe hio
Tuanze na Female Rapper Cardi B ambae ni mara yake ya kwanza ku attend event hii na hakutaka kuonekana njuka ame slay ndani ya hii Cinderella gonw kutoka kwa mbunifu Christian Siriano, she slayed the dress, make up on point & nails well done.
Rihanna mwenyewe ali attend in high low black dress kutoka kwa mbunifu Ralph & Russo Couture she looked amazing per usual
Lala Anthony shines bright like a diamond in silver dress
Beyonce & Jigga
EMILY RATAJKOWSKI
IMAAN HAMMAM
PETRA NEMCOVA
RILEY MONTANA
LIL’ KIM
Related posts
7 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/celebrities-at-the-third-annual-diamond-ball/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 49302 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/celebrities-at-the-third-annual-diamond-ball/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/celebrities-at-the-third-annual-diamond-ball/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 93567 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/celebrities-at-the-third-annual-diamond-ball/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/celebrities-at-the-third-annual-diamond-ball/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/celebrities-at-the-third-annual-diamond-ball/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/celebrities-at-the-third-annual-diamond-ball/ […]