SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Celebrities Looks Over The Weekend
Mitindo

Celebrities Looks Over The Weekend 

This week mitandao ya kijamii ilichangamka kutokana na watu maarufu mbalimbali ku-share picha zao katika account zao, wakiwa katika style mbalimbali za mavazi kuna ambao walikuwa casual, wengine walikuwa chic, wengine walikuwa wamehudhuria katika sherehe mbalimbali. Kama ilivyoada tupo hapa kukuletea nani alivaa nini na je alipendeza?

Well tuanze na wale ambao wao walikuwa casual, by casual hatumaanishi walikuwa tu kawaida ila walivalia mavazi ambayo ni ya mitoko ya kawaida ya kwendea sehemu ambazo sio za event maalum au kubwa kubwa, tulikuwa na Diamond Platnumz alikuwa in black look akiwa amemalizia muonekano wake na layered necklace’s, saa, raba pamoja na kofia. Pia tulikuwa na mwanadada Hamisa Mobetto ambae yeye alikuwa ametupa some summer outfit inspiration hii ni zile unazoweza kukutana nazo pinterest ukiuliza kuhusu park dates outfit, we love this look on her. Mwingine ni Lavidoz yeye alikuwa in over sized shirt, airforce akiwa amemalizia na her favorite Lv bag.

Kuna wale ambao sasa walikuwa wamepania na looks zao, inawezekana walitoka kwenda sehemu au ilikuwa just a photoshoot tu. Tumemuona mwanadada Maua Sama, Maua amekuwa aki-serve looks siku hizi na hapa alikuwa in black & white outfit. Nandy yeye ali-serve akiwa amevalia red mermaid dress akiwa kama wedding guest huku wa mwisho tulimuona Gigy Money akiwa amevalia color block outfit.

Well tuambie muonekano au vazi la nani limekuvutia zaidi?

Related posts

3 Comments

  1. his response

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/celebrities-looks-over-the-weekend/ […]

  2. marijuana leaf

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/celebrities-looks-over-the-weekend/ […]

  3. Buy DMT Vape Pen New South Wales

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/celebrities-looks-over-the-weekend/ […]

Comments are closed.